Showing posts with label Ikulu. Show all posts
Showing posts with label Ikulu. Show all posts

Thursday, April 23, 2009

Mama Kikwete meets The White Ribbon Alliance President

First Lady Mama Salma Kikwete presents a gift to The President of the White Ribbon Alliance For Safe Motherhood Theresa Shaver(right)at the end of The African First Ladies Health Summit, held in Los Angeles, California.in the centre with spects is Betsy MCallon, Senior program Addvisor.

First Lady Mama Salma Kikwete holds one year old Farai Kasago whose Tanzanian parents live and work in Los Angeles, when she met and talked with Tanzanians during an informal gathering in Los Angeles last night. Mama Kikwete was in the US to attend a two day summit of African First Ladies on Maternal health.

Read more...

Thursday, April 16, 2009

JK Umangani

Mfame Abdullah bin Aziz Al-Amer wa Saudi Arabia akiwa katika mazungumzo na mgeni wake JK baada ya Dhifa ya kitaifa aliyomuandalia katika makazi yake ya kifalme huko Saudi Arabia(katikati ni mukalimani. picha na Juma Kengele wa Ikulu

Read more...

Thursday, March 26, 2009

JK na afande mwamunyange watunukiwa nishani comoro

Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akivikwa medali ya kishujaa katika kutambua mchango wa majeshi ya Tanzania katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan

Rais Ahmed Abdallah Mohamed Sambi wa Muungano wa Visiwa vya komoro akimtukuku JK medali ya ushujaa na heshima ya Taifa la Komoro kwa kutambua mchango wake katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan.Rais Kikwete yupo nchini Komoro kwa mwaliko wa Rais Sambi kuadhimisha mwaka mmoja tangu majeshi ya umoja wa Afrika yakiongozwa na Tanzania yalipokikomboa kisiwa cha Anjouan

JK na Mwenyeji wake Rais Ahmed Abdallah Sambi mara baada ya kumtunuku heshima ya juu ya taifa hilo kwa kuvika medali kwa kutambua mchango wake katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan.Shrehe hizi zilifanyika Missiri Stadium kisiwani Anjouan


Read more...

Wednesday, March 18, 2009

JK ndani ya G20

JK akikaribishwa na waziri mkuu wa uingereza Bw. Gordon Brown Lancaster House

JK akiongea wakati wa mkutano na waandishi wa habari baada ya mkutano wa Pre G20 London Summit katika jumba la Lancaster House jijini London . wengine toka shoto ni rais wa African Development Bank Dr.Donald Kaberuka, Waziri Mkuu wa kenya, Mh. Raila Odinga, Rais wa Liberia Mh. Sirleaf Johnson, waziri Mkuu wa Ethiopia Mh. Meles Zenawi na Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini, Mh. Trvor Manuel.

JK akisalimiana na Waziri Mkuu wa Kenya Mh. Raila Odinga walipokutana kwa mazungumzo jijini London. Wote walialikwa nma serikali ya Uingereza katika mkutano maalumu wa Afrika na mataifa makubwa kabla ya mkutano wa G-20


Read more...

Monday, March 16, 2009

JK atua London kwenye mkutano juu ya mtikisiko wa uchumi

JK akikaribishwa na Balosi wetu Uingereza Mh. Mwanaidi Maajar uwanja wa ndege wa Heathrow asubuhi hii baada ya kuwasili jijini London tayari kwa mkutano maalumu kuhusu mtikisiko wa uchumi duniani ulioitishwa na waziri mkuu wa Uingereza Bw. Gordon Brown. JK ni mmoja wa marais wachache sana walioalikwa kwa ajili ya mkutano huo utaofanyika kwenye jengo la Lancaster House. Picha na Freddy Maro wa Ikulu

Read more...

Thursday, February 19, 2009

JK akutana na Wizara ya Viwanda, biashara na masoko





Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na viongozi wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Masoko pamoja na Taasisi zake ikulu jijini Dar Es Salaam leo(picha na Freddy Maro)

Read more...

Rais amuaga Marehemu Jeremiah Ullaya


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiiwafariji ndugu na jamaa za Marehemu Jeremiah Ullaya,mwenyekiti mstaafu wa CCM wilaya ya Iringa mjini wakati wa ibada ya kumuombea marehemku iliyofanyika katika kanisa la hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam leo mchana.Akizungumza wakati wa ibada hiyo Rais Kikwete aloisema alimfahamu marehemu na kwamba aliwahi kushirikiana naye kwa karibu katika kutekeleza majukumu ya Chama Cha Mapinduzi.

Read more...

Friday, February 13, 2009

JK akutana na kiongozi wa mabohora duniani

JK akiwa na kiongozi wa Mabohora duniani Dr.Syedna Mohammed Burhanuddin baada ya kiongozi huyo wa Mabohora kumvika mgolole maalum wakati JK alipokwenda kumtembelea katika msikiti wa Mabohora ulioko Upanga jijini Dar

JK akiwa katika mazungumzo na kiongozi wa Mabohora duniani Dr.Syedna Mohamed Burhanuddin wakati alipokwenda kumsabahi kiongozi huyo katika msikiti wa mabohora uliopo Upanga jijini Dar

Read more...

Jk apokua hati za utambulisho za mabalozi

JK akiongea na balozi Nguyen Duy Thien wa Vietnam mara baada ya balozi huyo kuwasilisha hati zake Ikulu

JK akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi Ian Hui Jong wa Korea ya Kaskazini leo Ikulu, Dar. Aliyesimama kati ni mkuu wa Itifaki, Balozi Anthony Itatiro




JK akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi Salim Levent Sahikaya wa Uturuki leo Ikulu, Dar. Katikati ni mkuu wa Itifaki, Balozi Anthony Itatiro



Read more...

Tuesday, February 10, 2009

Rais Banda wa Zambia ziarani Tanzania

Baadhi ya akina mama wa Jiji la Dar es Salaam wakimkaribisha kwa shangwe Rais Rupiah Bwezani Banda muda mfupi baada ya kwasili katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku mbili

Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia akikagua gwaride la heshima liliandaliwa kwa heshima yake na jeshi la Wananchi wa Tanzania wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar

JK akimkaribisha Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia leo muda mfupi baada ya Rais huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya siku mbili nchini


Read more...

Wednesday, February 4, 2009

Mama JK mkutanoni ethiopia

Mama Salma Kikwete akifuatilia kwa makini mkutano wa Wake wa Marais uliofanyika kwenye jengo la AU Mjini Addis Ababa Ethiopia



Mama Salma Kikwete pamoja na Mke wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Mama Azeb Mestin wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wanakwaya wa Chuo Kikuu cha YARED MUSIC SCHOOL Walipotumbuiza wakati wa mkutano wa Wake wa Marais uliofanyika kwenye Jengo la Makao makuu ya AU mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Picha na Juma Kengele wa Ikulu


Read more...

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP