Thursday, February 19, 2009

Rais amuaga Marehemu Jeremiah Ullaya


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiiwafariji ndugu na jamaa za Marehemu Jeremiah Ullaya,mwenyekiti mstaafu wa CCM wilaya ya Iringa mjini wakati wa ibada ya kumuombea marehemku iliyofanyika katika kanisa la hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam leo mchana.Akizungumza wakati wa ibada hiyo Rais Kikwete aloisema alimfahamu marehemu na kwamba aliwahi kushirikiana naye kwa karibu katika kutekeleza majukumu ya Chama Cha Mapinduzi.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP