JK ndani ya G20
JK akikaribishwa na waziri mkuu wa uingereza Bw. Gordon Brown Lancaster House
JK akiongea wakati wa mkutano na waandishi wa habari baada ya mkutano wa Pre G20 London Summit katika jumba la Lancaster House jijini London . wengine toka shoto ni rais wa African Development Bank Dr.Donald Kaberuka, Waziri Mkuu wa kenya, Mh. Raila Odinga, Rais wa Liberia Mh. Sirleaf Johnson, waziri Mkuu wa Ethiopia Mh. Meles Zenawi na Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini, Mh. Trvor Manuel.
0 comments:
Post a Comment