Majaji wa shindano la Safari Lager Nyama Choma wakionja viwango vya nyama katika moja ya bar zinazoshindana jijini Dar.
Meneja wa bia ya Safari, Fimbo Butallah akiwa na majaji wa shindano la Safari Lager Nyama Choma katika baa ya Africenter Ilala tayari kuanza mchakato wa ukaguzi
Chef Dougla Sakibu ambaye ni jaji kiongozi wa shindano la Safari Lager Nyama Choma akitoa semina kwa wachoma nyama wa baa 20 tofauti zinazopigania ushindi wa kitita cha milioni 1
0 comments:
Post a Comment