JK atua London kwenye mkutano juu ya mtikisiko wa uchumi
JK akikaribishwa na Balosi wetu Uingereza Mh. Mwanaidi Maajar uwanja wa ndege wa Heathrow asubuhi hii baada ya kuwasili jijini London tayari kwa mkutano maalumu kuhusu mtikisiko wa uchumi duniani ulioitishwa na waziri mkuu wa Uingereza Bw. Gordon Brown. JK ni mmoja wa marais wachache sana walioalikwa kwa ajili ya mkutano huo utaofanyika kwenye jengo la Lancaster House. Picha na Freddy Maro wa Ikulu
0 comments:
Post a Comment