Juma Nature akighani kiitikio cha wimbo wake mpya uitwao Ulevi,anaefuata ni Feruzi pamoja na Jb wa Mabaga Fresh ambaye amejiunga na Wanaume Tmk Halisi kwa ajili ya kuongeza nguvu ndani ya kundi hilo,Jb alisema kuwa ameamua kujiunga ndani ya kundi hilo kutokana kulipenda na watu waliomo wanajua wanachokifanya, aidha Jb amelifananisha kundi hilo na timu ya Taifa Stars , kwamba inaweza kufanya usajiri kutoka kwa timu yeyote ile, hivyo na ndivyo vivyo kwa kundi hilo ambalo limekuwa likijizolea umaarufu kila kukicha
Monday, March 16, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment