Wednesday, February 4, 2009

Mama JK mkutanoni ethiopia

Mama Salma Kikwete akifuatilia kwa makini mkutano wa Wake wa Marais uliofanyika kwenye jengo la AU Mjini Addis Ababa EthiopiaMama Salma Kikwete pamoja na Mke wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Mama Azeb Mestin wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wanakwaya wa Chuo Kikuu cha YARED MUSIC SCHOOL Walipotumbuiza wakati wa mkutano wa Wake wa Marais uliofanyika kwenye Jengo la Makao makuu ya AU mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Picha na Juma Kengele wa Ikulu


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP