Wednesday, February 4, 2009

Zain Yakabidhi Land Cruiser

Meneja Masoko (Kitengo cha Wateja) wa Zain Tanzania, Kelvin Twissa (kulia) akikabidhi mfano wa ufunguo kwa mshindi wa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota Land Cruiser lenye thamani ya sh. milioni 130 kwa Msusa Jaffar Msusa, Dar es Salaam jana aliyeibuka mshindi katika promosheni ya Endesha Ndoto 2 ya kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP