Friday, February 13, 2009

Jk apokua hati za utambulisho za mabalozi

JK akiongea na balozi Nguyen Duy Thien wa Vietnam mara baada ya balozi huyo kuwasilisha hati zake Ikulu

JK akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi Ian Hui Jong wa Korea ya Kaskazini leo Ikulu, Dar. Aliyesimama kati ni mkuu wa Itifaki, Balozi Anthony Itatiro
JK akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi Salim Levent Sahikaya wa Uturuki leo Ikulu, Dar. Katikati ni mkuu wa Itifaki, Balozi Anthony Itatiro0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP