Wednesday, February 11, 2009

JK na Stars Ikulu

JK akipeana mikono na nahodha wa Taifa Stars Nsajigwa

JK akikumbataiana na kocha wa Taifa Stars Marcio Maximo Ikulu

JK akimpongeza bosi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephrahim Mafuru kwa mchango mkubwa wa kampuni hiyo kusaidia sana michezo na burudani nchini, ikiwa ni pamoja na kudhamini ligi kuu ya bara. Hii ilikuwa katika hafla ya dina la mchana ambalo JK aliwaandalia Taifa Stars na wafadhili wa timu hiyo ya Taifa inayojiandaa kwa michuano ya CHAN baadaye mwezi huu huko Ivory Coast.


JK akiagana na Mshambuliaji wa timu hiyo Musa Hasan Mgosi Ikulu Dar Es SalaamRais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Taifa Taifa Stars baada ya kula nao chakula cha mchana Ikulu
Rais Jakaya Kikwete jana aliialika timu ya taifa Taifa Stars kwaajili ya chakula cha mchana Iklulu ya Dar es Salaam. JK aliipongeza timu hiyo kwa mafanikio makubwa iliyoipata katika kipindi kifupi na kufanikiwa kufuzu fainali za Chan.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP