Tuesday, February 10, 2009

Rais Banda wa Zambia ziarani Tanzania

Baadhi ya akina mama wa Jiji la Dar es Salaam wakimkaribisha kwa shangwe Rais Rupiah Bwezani Banda muda mfupi baada ya kwasili katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku mbili

Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia akikagua gwaride la heshima liliandaliwa kwa heshima yake na jeshi la Wananchi wa Tanzania wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar

JK akimkaribisha Rais Rupiah Bwezani Banda wa Zambia leo muda mfupi baada ya Rais huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya siku mbili nchini


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP