Friday, February 6, 2009

JK ndani ya UDOM

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Angelite Kimaro ambaye anasoma kozi ya ualimu katika chuo kikuu cha Dodoma wakati Rais alipotembelea chuo hicho na kufanya ukaguzi wa ujenzi unaoendelea chuoni hapo

Rais Jakaya Kikwete akiongea na wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma jana wakati Rais alipokwenda chuoni hapo kukagua ujenzi unaoendelea.

Rais Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Viongozi wa juu wa NSSF na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP