Vodacom yaipiga tafu TBF.
Katibu Mkuu wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini,TBF,Lawrence Cheyo(kushoto)akifurahia kukombolewa kwa mipira ya msaada iliyotolewa na shirikisho la mchezo huo,FIBA.Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ndiyo iliyosaidia kulipia ushuru wa Forodha mipira hiyo kwa kutoa sh Milioni moja(ML 1) fedha taslimu.kushoto kwa cheyo kati ni Nector Foya kutoka Vodacom akifuatiwa Matin Nkurlu mmoja wa maafisa uhusiano Vodacom na Simon Msofe.
0 comments:
Post a Comment