Friday, March 6, 2009

Zain yagawa vitabu Iringa


Ofisa Uhusiano wa Zain Tanzania, Celine Njuju (kulia) akikabidhi vitabu vyenye thamani ya sh. milioni 1 kwa Ofisa Elimu Wilyaya ya Iringa Vijijini kwa niaba ya Shule ya Sekondari Mloa katika hafla iliyofanyika Shule ya Sekondari Nhomboni, Iringa jana. Zain ilichagua shule 26 kutoka mikoa yote zitakazopewa vitabu. Katikati ni Maduhu Salum, Ofisa Elimu Mkoa wa Iringa aliyekuwa mgeni rasmi.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP