Milioni 40 za vodacoma zaenda Buguruni
Afisa kutoka PWC Agness Kitwanga akibonyeza kitufe cha kompyuta wakati akichezesha bahati nasibu ya kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tuzo Droo iliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jengo la PPF Tower jijini ambapo Bw Abdallah Ramadhani mwenye miaka 29 mkazi wa Buguruni jijini aliibuka mshindi wa milioni 40, kulia wanaoshuhudia ni Elihuruma Ngowi meneja masoko Vodacom, Abdullah Hemedy kutoka bodi ya bahati nasibu na mwisho ni Angelina Semiono wa PWC.
0 comments:
Post a Comment