Monday, March 30, 2009

Picha za ajali ya treni dodomaAjali imetokea kwa mara nyingine mkoani Dodoma kati ya vituo vya Gulwe and Igandu na kupoteza maisha ya watanganyika kadhaa (Idadi hauijajulikana) lakini ni kwamba zaidi ya watu nane wamekufa baada ya treni ya Express ya kampuni ya Reli ya wawekezaji kugongana na ya mizigo. mabehewa yamebanana habari kamili baadae! Mungu atuepushe na haya!! Habari za sasa zinasema waziri amesema ajali hizo ni za kizembe na kuagiza Station Master wa vituo vyote viwili wakamatwe na madereva wa treni hizo miili sita ndio imepatikana0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP