Monday, March 30, 2009

Maiti ya kitoto kichanga yaokotwa katika shimo la takataka

Maiti ya kitoto kichanga ikiwa imetupwa ndani ya jalala la shule ya Mtoni Sifa ambapo haikufahamika ni mwanamke gani ambaye amekitupa kichanga hicho

Wakazi wa Mtoni sabasaba wakiangalia maiti ya kitoto kichanga kilichotupwa na mwanamke ambaye hakufahamika katika jalala la shule ya msingi Mtoni Sifa

Tunaomba radhi kwa kutumia picha lakini lengo ni kufikisha ukweli na uhalisia wa jinsi tulivyo.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP