Tuesday, April 7, 2009

Haya ndiyo mambo yetu

Polisi wa usalama barabarani akijaribu kakabiliana na na mmoja wa wakazi sehemu ya tukio kama uonavyo pichani,yote hiyo kwa usalama wao,lakin walikuwa wabishi ile mbaya.! Mazingira ya namna hii nani wa kulaumiwa kweli jamani.?

wadau wakiwahi mafuta ya dezo katika ajali hiyo!

Wakazi wa eneo la misheni nje kidogo ya mji wa morogoro wakigombea mafuta yaliyokuwa yakimwagika kutoka kwenye tenki kama uonavyo pichani,! Ninachojiuliza hivi kwanini wabongo hatukomi kwenye mambo kama haya yakitokea.? pamoja na kuwepo polisi wa usalama barabarani alikuwa akijitahidi kuwafukuza wakazi hao ,masikini ..!Wananchi walikuwa wabishi na kutoogopa lolote ambalo lingetokea pale,kwani polisi mwenyewe alikuwa na fimbo ya miti aliyokuwa akitumia na alikuwa peke yake. Picha zaidi http://michuzijr.blogspot.com/


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP