Tuesday, April 7, 2009

Msimbe ndani ya Moro

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii, Leoni Msimbe ( wa kwanza kulia) akifafanua jambo mbele ya wahitimu wa kozi fupi ( hawapo pichani) juzi ( Aprili 4) juu ya jukumu la Vyuo vya Maendeleo ya wananchi katika kutoa mchango wa vijana anayemfuatia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amiri Nondo na watatu ni Mratibu wa Mradi wa Faraja Trust, Norbert Massay , akifuatiwa na Ofisa wa Mradi wa Pact Tanzania, Frola Kalinga.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP