Tuesday, April 7, 2009

Kwanza Jamii wiki hii!!

Katika KWANZA Jamii juma hili soma yafuatayo;


-Wabunge 27 hawajawahi kuuliza swali lolote tangu
mwaka 2005 wakiwa Bungeni, Ni akina nani hao na kwa nini? Soma KWANZA
JAMII juma hili.


-Je,Wajerumani waliacha mali za thamani katika
misitu na ardhi ya Tanganyika? Eliaman Laltaika, Mchambuzi na mtafiti
wa masuala ya mali- bunifu anakupa majibu.


-Usikose pia makala elimishi na zenye kuburudisha za
wachambuzi na waandishi mahiri kutoka ndani na nje ya Tanzania kama vile;
Professa Charles Muttabazi Bwenge, Professa Masanzu Matondo Wa Nzuzullima, Dr. Bukaza Chachage , Bi. Subira Feruz, Bi. Subi Sabato, Jeff Msangi, Freddy Macha, Padri Privatus Karugendo, Joseph
Mihangwa, Maggid Mjengwa na wengineo.
Wahi nakala yako ya KWANZA JAMII leo hii

1 comments:

Anonymous,  June 3, 2009 at 4:51 PM  

My Blog
http://www.wretch.cc/blog/markacey
Nice to meet you
Hsinchu, Taiwan

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP