Monday, August 4, 2008

JK aendelea na ziara yake mkoani Iringa picha zote kwa hisani ya Ikulu

Matroni Katika Hospitali ya Consolata Ikonda, Sr.Egle Casiraghi(kulia) akimweleza JK jinsi wanavyotoa huduma za afya katika hospitali hiyo iliyopo wilaya ya Makete wakati Rais alipoitemebela hospitali hiyo leo.Wakwanza kushoto ni Padre Sandro Nava Mkuu wa hospitali hiyo na Watatu kushoto aliyeshikwa mkono na Rais ni Sr.Magda Boscolo.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP