Friday, August 1, 2008

Kifo cha Wangwe, utata wazidi kujitokeza baada ya fundi gereji kudai kijana aliekuwa na Marehemu Wangwe alikuwa dereva

Mkazi huyu wa kijiji cha Pandambili, Mwiguni George ndiye aliyeanza kuleta utata wa kifoa cha Marehemu Chacha Wangwe, hapa anasema aliyefika katika eneo la tukio dakika chache baada ya ajali huku akimweleza Kamanda Peter Kivuyo(pili kulia), Kamanda wa Usalama Barabarani wa Mkoa Vitus Nikata ( wa pili tatu kushoto) na Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Kongwa Ramadhan Kalowa (wa pili kushoto) kitu alichoshuhudia.

Gari alilopinduka nalo Marehemu Chacha Wangwe

Wananchi toka kijijini kwa Marehemu Chacha Wangwe wakiwa wamebeba mabango ikiwa na maandishi yanayoelezea hisia zao


Viongozi wa CHADEMA wakijadili jambo wakati wakiwa katika mazishi ya Marehemu Chacha Wangwe, ambapo wazee na wanafamilia wanadai ameuawa kwa risasi na sio ajali pekee.0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP