Wednesday, August 13, 2008

Kova atembelea kituo cha Daladala Mwenge

Mwanafunzi John Makonyora wa shule ya Sekondari Kambangwa, akizungumza na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu, Dar es Salaam, Bw. Suleiman Kova, alipofanya ziara ya ghafla katika Kituo cha Daladala cha Mwenge kupata taarifa mbalimbali kutoka kwa wananchi zitakazosaidia kuondokana na kero za usafiri.

1 comments:

Unknown August 13, 2008 at 9:56 AM  

I'm impressed by you quaint little blog here.

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP