Tuesday, September 16, 2008

Kawawa apokea vik mbe vya bao

Waziri Mkuu mstaafu na mlezi wa michezo ya jadi Nchini Mzee Rashidi Kawawa akipokea vikombe kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa mfuko wa Akiba kwa Mashirika ya Umma (PPF), Sarah Kibonde katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Vikombe hivyo vitashindaniwa katika mchezo wa bao utakaoshirikisha wilaya za mkoa Dar es Salaam

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP