Tuesday, September 16, 2008

Mbeki amaliza mzizi wa fitna Zimbabwe

rais thabo mbeki wa sauzi akiwashikisha mikono rais robert mugabe, morgan tsvangirai wa chama cha mdc na profesa arthur mutambara wa chama cha mdc-m baada ya kumwaga wino wa kuundwa kwa serikali ya mseto kumaliza zali mchana wa leo huko harare. picha na freddy maro wa ikulu.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP