Tanzania yaandaa siku ya michezo
Naibu Waziri wa habari,michezo na utamaduni (katikati ) Mh Joel Bendera akizungumza na waandishi wa habarijijini Dar kuhusu siku ya maadhimisho ya michezo Tanzania ambayo itafanyika septemba 21 kwenye viwanja vya mnazi mmoja,kulia ni Mkurugenzi wa maendeleo ya Michezo Bi Rachel Massamu na kushoto ni Katibu mkuu baraza la michezo Mh Reonald Thadeous.
0 comments:
Post a Comment