Wednesday, September 17, 2008

Tigo yatoa msaada wa Vitabu vya Hisabati 500 Mbeya

Meneja Biashara wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo wa Kanda yaKusini na Kati Willy Magehema (kushoto) akikabidhi sehemu ya vitabu500 vya hisabati vilivyotolewa msaada kwa Mbunge wa Mbozi Mashariki,Godfrey Zambi kwa ajili ya shule 10 za sekondari katika jimbo hilo.Hafla hiyo ilifanyika pamoja na na uzinduzi wa kampeni ya Tigo ElimuBora Tanzania kwenye ofisi za mkuu wa wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeyajuzi. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Katibu Tawala wa wilaya hiyo,Swaleh Simba na Kaimu Mkurugenzi wa Mbozi, Ngaikwela Lington

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP