Mtikila uso kwa uso na wababe wake
Anayedaiwa kuwa mfuasi wa CCM, Bw. Julius Meng'anyi (kulia) anayetuhumiwa kufanya shambulizi na kujeruhi kwa panga baadhi ya wafuasi wa CHADEMA,katika vurugu zilizotokea juzi kwenye uwanja wa Sabasaba, mjini Tarime, akiwa na watuhumiwa wengine wa makosa mengine alipokuwa akipelekwa kujibu mashitaka katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime jana.
0 comments:
Post a Comment