Hapa ndiyo ilikuwa tamati ya maandamano katika ofisi za Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo

Hata kama watajifanya mabubu lakini ujumbe umefika

Usipime Mkuu, wapiga picha nao hawakuwa nyuma

Maandamano yaliambatana na Ujumbe mzito wa mabango licha ya kziba midomo kwa plasta

Baadhi ya Wahariri pamoja na wanahabari wakiwa katika maandano ya kupinga kufungiwa kwa gazeti la Mwanahalisi,
0 comments:
Post a Comment