Saturday, November 8, 2008

Epa sasa yawatafuna vigogo wa BOT

Mtumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Esther Komu (kulia) ambaye ni kati ya Watumishi wanne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wanaotuhumiwa kwa kesi ya wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), akilia baada yeye na wenzie, akiwemo Bi. Sophia Lalika (kushoto) kufikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana ambapo walisomewa mashitaka yao.

Picha hii tafsiri nyiiingi, sijui mama huyu sophia joseph toka benki kuu anamueleza nini askari huyu wa kike????

Kweli sheria msumemo, huyu ni kaimu mkurugenzi wa idara ya madai wa benki kuu esther komu akiaga wakati akipelekwa segera


Washtakiwa wa kesi ya epa toka benki kuu ya Tanzania toka kushoto bosco kimela, esther komu na imani mwakosaya ambapo jana walipandishwa kortini0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP