Tuesday, November 4, 2008

Malkia aendelea na ziara yake

Malkia Margerthe II wa Denmark na mumewe wakiangalia zawadi za vinyago vya kimakonde walivyozawadiwa na Jk Ikulu, Malkia huyo yuko nchini kwa ziara ya siku nne.

Malkia Margerthe II wa Denmark na mumewe gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake, Malkia huyo yuko nchini kwa ziara ya siku nne.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP