Wednesday, November 26, 2008

Picha za ajali ya basi la Zuberi

Wakazi wa Singida wakiwa katika eneo la ajali ya basi lililouwa abiria 17 janaAjali hii ilitokea juzi baada ya basi la Zuberi T 677AGJ lililokuwa likitokea Dar es Salaam kupindika katika mlima Senkenke mkoani Singida kufuatia kukosa breki katika mteremko mkali. Basi hilo liliparamia mlima na kisha kuanguka mtoni umbali wa mita 50 kutoka mlimani.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP