hapa ndiyo usiseme speed yake!!

Hapa mwendo umebadilika kabisa na speed imeongezeka zaidi

Hapa anaondoka mahakamani kwa mwendo wa kunyata huku speed ikiongezeka na sura kaificha.

TID akiingia mahakamani kwenda kusikiliza rufaa yake, lakini wakati wa kutoka mahakamani ilikuwa tofauti saaaana!!!!
0 comments:
Post a Comment