Thursday, November 27, 2008

Waziri Mkuu wa Msumbiji, Luisa Diogo atua Tanzania

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Msumbiji, Luisa Diogo wakipokelewa na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam baada ya kuwasili kwenye Ofisi hiyo kwa Mazungumzo ya kiserikali

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mgeni wake, Waziri Mkuu wa Msumbiji, Luisa Diogo baada ya mazungumzo yao ya Kiserikali, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP