Monday, December 15, 2008

JK atua msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku mbili

JK na mwenyeji wake Rais Armando Guebuza wakifurahia na watoto waliojitokeza kumpokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo

Rais Armando Guebuza wa Msumbiji akimkaribisha JK katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Msumbiji.

JK na mwenyeji wake Rais Armando Guebuza wa Msumbiji wakikagua gwaride la heshima muda mfupi baada ya Rais na Mkewe kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo tayari kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP