Thursday, January 15, 2009

JK ateta na viongozi wa Miundombinu

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mkutano na Viongozi wa Juu wa Wizara ya Miundombini Ikulu Dar es Salaam jana. Katika mikutano hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein ilijadili masuala mbalimbali ya Bandari, Rwelwe na ATCL. Viongozi wa juu wa mashirika hayo walihudhuria kwa nyakati tofauti tofauti.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP