Wednesday, January 7, 2009

KONYAGI YAONGEZA CHACHU UDHAMINI WA MALKIA WA SEBENE 2009

Washiriki wa shindano la kumsaka malikia wa sebene (ngwasuma) 2009 wakijifua vilivyo leo mchana kwenye kambi yao pale Meeda Club-Sinza jijini Dar

Washiriki wa shindano la kumsaka malikia wa sebene (ngwasuma) 2009 wakiwa wamepozi katika picha ya pamoja leo mchana kwenye kambi yao pale Meeda Club-Sinza jijini Dar

Gari aina ya Mark II ya ilionyakuliwa mwaka jana na bibie Ketura Kihongosi ikiwa imeegeshwa ndani ya ukumbi wa diamond jubilee kwenye shindano la malikia wa ngwasuma lililofanyika mwaka jana na kuhudhuriwa na mamia ya watu


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP