Mzee wa mabenzi mekundu atinga Keko
Liyumba
Deogratius Kweka. Watuhumiwa Amatus Liumba na Deo Kweka waliokuwa watumishi wa BOT wamepandishwa kizimbani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia hasara serikali zaidi ya Bilioni 220 TZS na ushee. Wamepelekwa rumande baada ya kushindwa masharti ya dhamana ikiwapo kila mmoja kuweka dhamana ya bilioni 50 TZS.
0 comments:
Post a Comment