Thursday, January 1, 2009

TOP naye afungua mwaka kwa kutambulisha waimbaji wa TOP Band

tid a.k.a prison voice akiwa na bendi yake ya top band akighani usiku huu stereo bar ya kinondoni hananasifu alikoandaa bash la mwaka mpya. hapo anaimba kibao chake kipya kiitwacho 'usijifanye kidume, utaswekwa jela' kinachoelezea ubaya ya ubabe na uzuri wa kuendeleza tabia njema katika jamii. anaongezea kuwa yeye ameshaonja jela na amenyooka na sasa amekuwa mtoto mzuri na atatumia muda wake kuelimisha jamii tabia njema

Watu wakiruka na Top Band

Top na vijana wake wa top band ambao amewatambulisha katika band yake kwenye mkesha wa mwaka mpya usiku huu


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP