Saturday, January 31, 2009

wa milioni 5 wa global publishers apewa zawadi yake

mamaa dotnata akimkabidhi zawadi mdua harith nassor ambaye ni mwakilishi wa mdau wa milllioni 5 wa tovuti ya global publishers kwenye duka la vipodozi la arise beauty supply ambao ndio wadhamini wa shindano hilo ambapo wametoa simu mpya ya blackberry. sherehe hizo fupi zilishuhudiwa pia na balozi wa nanihii na fulanazzz yake

mamaa dotnata akipokea zawadi toka kwa meneja mkuu wa maduka ya arise beaty suppy rose bernard wakati wa sherehe hizo

mwakilishi wa mshindi akipozi na waliohudhuria sherehe hizo


bosi wa global publishers abdallah mrisho akimwelekeza namna ya kutumia blackberry huku mgeni rasmi mamaa dotnata na wafanyakazi wa duka la vipodozi la arise beauty supply wakisikiliza0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP