Friday, February 13, 2009

Kikao cha maandalizi ya Mkutano wa IMF chafanyika Dar


Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo (kulia) akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IFM) anayeshughulikia Afrika Samuel Itan (katikati) na Mshauri wa Mkurugenzi huyo Ahmed Ndyeshobola (kushoto) kuhusu maandalizi ya Mkutano wa IMF na Afrika utakaohudhuriwa na Mawaziri wa Fedha na Magavana kutoka Nchi zote za Afrika utakaofanyika Nchini tarehe 10 – 11 mwezi wa tatu mwaka huu . Washiriki kutoka Zambia, Misri, Cameroon, Senegal, IMF na wenyeji Tanzania walishiriki mkutano huo

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP