Wednesday, August 6, 2008

Dr. Shein aendelea na ziara Mexico

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii rofesa David Mwakyusa akijadiliana jambo na Waziri wa Afya wa Mexico katika kliniki ya kuhudumia wagonjwa wa Ukimwi wakati Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein aliofanya zira katika kliniki hiyo jana.

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na Mkewe Mwanamwema Shein wakimsikiliza Waziri wa Afya wa Mexico Dk Jorge Saavedra akitoa maelezo kuhusu kliniki ya wagonjwa wa Ukimwi wakati Dk Shein alipotembelea kliniki hiyo jana.Wengine ni Waziri wa Afya Zanzibar Suleiman Mugheri na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa David Mwakyusa.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP