Paschal amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili
Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Paschal Mayalla akiwa Hospitalini mkoani Dodoma baada kupata ajali na pikipiki yake alipokuwa aikisafiri kwenda mkoani humo.
0 comments:
Post a Comment