Monday, August 4, 2008

JK akimjulia hali mtoto Desderius Mrongo mwenye umri wa miaka miwili na nusu aliyelazwa katika Hospitali ya Consolata Ikonda,wilayani Makete. Aliyembeba mtoto Desderius ni nyanya yake ambaye alimweleza Rais kuwa mama mzazi wa mtoto huyo amefariki Dunia. JK yupo Mkoani iringa kwa Ziara ya kikazi kukagua na kufungua miradi ya maendeleo

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP