Vodacom Miss Tanzania 2008 Nasreem Karim,22, (katikati) Kulia ni mshindi wa tatu Pendo Laizer na mshindi wa pili Sylvia Mashuda.

Miss Tanzania 2008 Nasreem Karim (22) toka Kanda ya Ziwa

miss vodacom tz 2007 richa adhia akipozi na mshindi wa pili wa miss tz 2008 sylvia mashuda toka ilala

Richa Adhia akimpongeza mshindi wa tatu Pendo Laizer toka Miss vyuo vikuu

Meneja wa Kinywaji cha Redds George Kavishe akimpongeza balozi wa Redds 2008 Angela Luballa toka Temeke

Mrembo Sylvia Mashuda akipokea taji la kuwa Miss Tacaids 2008 toka kwa mwakilishi wa Tacaids

Miss vodacom Tanzania 2007 Richa Adhia akiaga mashabiki

Tano Bora Miss Tanzania 2008

Kumi bora ya Miss Tanzania 2008
0 comments:
Post a Comment