JK amtembelea Bush White House
JK na mwenyeji wake Rais George Bush wa Marekani wakiwa katika mazungumzo ofisini kwa Rais Bush,Oval office iliyopo ikulu ya Marekani White house jijini Washington D.C Ijumaa asubuhi.

picha zote na Freddy Maro wa ikulu
0 comments:
Post a Comment