rais wa zanzibar mh. amani abeid karume na mkewe mama shadya katika picha ya pamoja na will smith na mai waifu wake jada pinckett smith ikulu zenji
rais wa zanzibar mh. amani abeid karume akipiga stori na will smith
rais amani abeid karume akipokea zawadi ya sovenia toka kwa will smith aliyemtembelea ikulu ya zenj ijumaa hii,
Picha zote na othman maulidi ikulu zanzibar
0 comments:
Post a Comment