Tuesday, August 19, 2008

KILIMANJARO PREMIUM LAGER NA UDHAMINI WA SIMBA NA YANGA

Mara tu baada ya kutiliana sahihi makubaliano ya udhamini kilichofuata ni makabidhiano ya “mkwanja”.Pichani kiongozi wa Yanga,Imani Madega(kulia) akipokea mfano wa hundi ya milioni 25 ikiwa kama kianzio tu cha udhamini huo


Kiongozi wa Simba,Hassan Dalali(shoto) naye akipokea alichokabidhiwa mwenzake wa Yanga hapo juu

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP