Tuesday, August 19, 2008

Zain yapata mshindi wa sita wa gari aina ya RAV 4

Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Costantine Magavilla (kulia) akizungumza kwa simu na mshindi wa sita wa gari aina ya RAV 4, Mwajabu Salum aliyeshinda katika promosheni ya Endesha Ndoto 2, jijini Dar leo. Katikati ni Mkurugenzi Masoko wa Zain Tanzania, Margaret Kositany na kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Bakari Maggid


Mwandishi wa habari wa gazeti la Habari Leo, Halima Mlacha akibonyeza kompyuta kumpata mshindi wa sita wa gari aina ya RAV 4, Mwajabu Salum aliyeshinda katika promosheni ya Endesha Ndoto 2, Dar es Salaam

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP