Wednesday, August 27, 2008

Ziara ya Dr. Shein Kigoma

Mmoja wa wazee wa kijiji cha chokabongo Wilayani Kibongo Mkoani Kigoma Bibi Hamisa Mrisho akimkabizi zawadi ya Mahotpot Mke wa Makamu wa Rais Mama Mwanamwema Shein alipotembelea katika kijiji hichi kuangalia miradi ya maendeleo

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na mtoto Elius Chegecha ( 10) anaesoma darasa la kwanza katika Shule ya msingi Kakonko Wilayani Kibondo wakati alipofika katika kijiji hicho kwa ajili ya kuangalia hifadhi ya maendeleo ya mradi wa msitu wa asili wa Muganza Wilayani Kibondo


Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia mitego ya nyuki katika kituo cha msitu wa Muganza Wilayani Kibondo wakati alipotembelea kituo hicho kwa lengo la kuona maendeleo ya mradi huo
picha kwa hisani ya Makamu wa Rais

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP